Sehemu nyingine ya viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kutoka kulia ni Mhasibu Mkuu, Bw. Paul Kabale; Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi (wa pili kutoka kulia), Bw. Mapesi Manyama, Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika, Bw. Suleiman Saleh; Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga, kutoka kushoto ni Maafisa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kutoka kushoto ni na wa pili kutoka kushoto ni Bw. Hangi Mgaka |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.