Mkuu wa Kitengo cha Usajili wa Taasisi ya United Nation Mechanism for International Criminal Tribunal (MICT), iliyorithi shughuli za Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda, Bw. Samuel Akorimo (kulia) akiwa katika harakati za kukabidhi mashine ya kutengeneza vitambulisho iliyotolewa na taasisi hiyo kwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Wengine katika picha watatu kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Ramadhan Mwiny; wakwanza kushoto ni Mkuu wa Itifaki, Balozi Grace Martin na Mtaalamu wa Sheria wa MICT, Bi. Tully Mwaipopo. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.