TAARIFA
KWA UMMA
Ubalozi
wa Tanzania nchini Kenya umeandaa Misa Maalum ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere itakayofanyika tarehe 14 Oktoba, 2017 katika Kanisa la Holy Family Basilica,
Nairobi kuanzia saa 4.00 hadi saa 5.00 asubuhi.
Watanzania
wote pamoja na ndugu, jamaa na marafiki mnakaribishwa kushiriki katika Misa hii.
Kufika kwenu kwa wingi ndio kufanikisha shughuli yetu sote.
TUNATANGULIZA
SHUKRANI ZETU ZA DHATI.
IMETOLEWA NA:
UBALOZI
WA TANZANIA
NAIROBI,
KENYA
10
OKTOBA, 2017
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.