Kaimu Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Ujumbe wa EU nchini
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Jestas Nyamanga akizungumza na Kaimu Kiongozi wa Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Bw. Charlie Stuart alipofika Wizarani tarehe 10 Novemba, 2017 kwa ajaili ya kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu Umoja huo na masuala mengine ya Kimataifa.
Sehemu ya Ujumbe uliofuatana na Bw. Stuart wakifuatilia mazungumzo
Sehemu nyingine ya ujumbe kutoka EU na Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.