Mhe. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Augustine Mahiga (Mb) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea nchini Mhe. Balozi Song,Geum-Young, alipomtembelea Wizarani, Dar es Salaam, tarehe 05/12/2017. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano kati ya Korea na Tanzania.
Mazungumzo yakieendelea
Mhe. Waziri na Mhe. Balozi wakipeana mkono baada ya mazungumzo |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.