Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda (katikati upande wa kulia), akizungumza na Prof. Kenneth Simala (kushoto), Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki. Pamoja na mambo mengine Prof. Simala alimkabidhi Prof. Mkenda Mpango Mkakati wa Kamisheni hiyo wa mwaka 2017/2022. Kamisheni hiyo ina lengo la kukuza na kutangaza Lugha ya Kiswahili kwa nchi za Afrika Mashariki. Prof. Mkenda alitembelea Ofisi za Kamisheni hiyo zilizopo Zanzibar wakati wa ziara yake ya kujitambulisha kwenye Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kufuatia kuteuliwa kwake kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambayo ni Wizara ya Muungano. Wakati wa ziara
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.