Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Mhe. Heiko Maas akisalimiana na Balozi wa Ujerumani nchini, Mhe. Detlef Waechteralipowasili nchini kwa ziara ya siku mbili. Anayeshuhudia ni Mhe. Waziri Gavu. |
Mhe. Waziri Maas akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Jestas Nyamanga. |
Mhe. Waziri Maas akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga huku Bw. Nyamaga akishuhudia |
Mhe. Waziri Gavu akizungumza na Mhe. Waziri Maas mara baada ya kumpokea rasmi nchini kwa ajili ya kuanza ziara yake ya siku mbili. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.