Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe alikutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini, Mheshimiwa Frédéric Clavier. Mazungumzo yao yalifanyika hivi karibuni katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma.
Mazungumzo yakiendelea
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe, akiagana na Balozi wa Ufaransa nchini, Mheshimiwa Frédéric Clavier, mara baada ya mazungumzo kati yao.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.