Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakifuatilia mazungumzo kati ya Prof. Palamagamba John Kabudi na Balozi Mousa Farhang (hawapo pichani), katikati ni Mkurugenzi Kitengo cha Habari na Mawasiliano Bw. Emmanuel Buhohela, Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mashariki ya Kati Bw. Ayubu Mndeme (wa kwanza kushoto) na Katibu wa Waziri Bw. Murobi Magabilo |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.