Mabalozi wakisikiliza ufanunuzi wa masuala mbalimbali kutoka kwa watendaji wa Kampuni ya Taifa Gas walipoitembela Makao Makuu ya Kampuni hiyo. |
Mhe. Baraka Luvanda Balozi wa Tanzania nchini India (Wakwanza kulia) na Mhe. Matilda Masuka Balozi wa Tanzania Jamhuri ya Korea wakifuatilia hotuba fupi ya ukaribisho. |
Mabalozi wakiwa Uwanja Mpya wa Ndege wa Julius Nyerere (Terminal 3) walipotembelea kuona ufanisi wa uwanja huo. |
Mabalozi wakisikiliza ufafanuzi kutoka kwa mtaalam walipotembelea eneo la ujenzi wa barabara za juu eneo la Ubungo, Dar es Salaam |
Mabalozi wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa TCRA walipotembelea Makao makuu ya Ofisi hiyo |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.