Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi baada ya kuwasili Wizarani Mtumba akitokea Ikulu ya Chamwino alipoapishwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano tarehe 16/11/2020
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof.
Palamagamba John Kabudi akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi wa wizara alipokaribishwa Wizarani baada ya kuapishwa.
Matukio katika picha yakionesha Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof.
Palamagamba John Kabudi alipopokelewa na menejimenti na watumishi wa Wizara alipowasili Wizarani baada ya kuapishwa
Katibu Mkuu Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi
Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi kuzungumza na menejimenti ya Wizara baada ya kukaribishwa Wizarani
Kikao kikiendelea
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.