Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mkuu wa
Itifaki (Chief of Protocol)
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Yusuph Tindi Mndolwa kuwa
Balozi katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma
Mkuu
wa Itifaki (Chief
of Protocol) Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Yusuph
Tindi Mndolwa akiapa kuwa Balozi Ikulu, Chamwino - Dodoma
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.