Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wameungana na Wafanyakazi wengine wa Wizara, Taasisi, Mashirika na Sekta binafsi kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Maadhimisho hayo yameongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Binilith Mahenge akiambatana na Viongozi na Watendaji wengine wa Serikali.
Sehemu ya Watumishi wa Wizara wakiwa katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani jijini Dodoma
Sehemu ya Watumishi wa Wizara wakiwa katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani jijini Dodoma |
Sehemu nyingine Watumishi wa Wizara wakiwa katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani jijini Dodoma |

Watumishi wa Wizara wakiwa katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma |
Watumishi wa Wizara wakiwa katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.