Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb)
ametembelea vyombo vya habari vya Kampuni ya IPP Ltd na kuvipongeza kwa kufanya
kazi vizuri.
Balozi
Mulamula ametembelea ‘The Guardian Ltd’ inayozalisha magazeti ya The Guardian
na Nipashe, Radio One, Capital radio, East Africa radio, ITV, Capital TV pamoja
na East Africa TV.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb)
akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa ITV na Radio One, Joyce Mhavile wakati
alipowasili kwa ajili ya kutembelea vyombo vya habari vya IPP
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb)
akipokelewa na uongozi wa The Guardian Ltd wakati alipokuwa natembelea kampuni
hiyo leo Jijini Dar es Salaam
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akisalimiana
na Mhariri Mkuu wa Gazeti la Nipashe, bb. Beatrice Bandawe
Mhariri
Mkuu wa Gazeti la Nipashe, Bb. Beatrice Banda akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula wakati
Balozi Mulamula alipotembelea Ofisi za The Guardin Ltd
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akielea
jambo wakati alipokuwa katika studio za East Africa radio jijini Dar es Salaam
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akielea
jambo wakati alipokuwa katika studio za East Africa radio jijini Dar es Salaam
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akitambulishwa
baadhi ya vipindi vya Capital radio
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akielezewa
jinsi habari na vipindi mbalimbali vinavyotayarishwa katika studio za ITV. Mkurugenzi
Mtendaji wa ITV na Radio One, Joyce Mhavile
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula
akiwa studio za ITV
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.