Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk
Nassoro Mbarouk (Mb) amekutana kwa mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki, Dkt. Peter Mathuki leo katika Ofisi za Jumuiya hiyo leo Jijini
Arusha.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk
Nassoro Mbarouk (Mb) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki, Dkt. Peter Mathuki leo katika Ofisi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jijini
Arusha
|
Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk (Mb) akisaini
kitabu cha wageni katika Ofisi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,
Dkt. Peter Mathuki leo katika Ofisi za Jumuiya hiyo Jijini Arusha |

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki, Dkt. Peter Mathuki akimueleza jambo Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk (Mb) leo
katika Ofisi za Jumuiya hiyo Jijini Arusha |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.