Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaongoza Watanzania kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Marais na viongozi wa Mataifa mbalimbali pamoja na viongozi wakuu wa Serikali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Watanzania
kwenye sherehe za maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara
yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na
Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame katika sherehe za maadhimisho ya Miaka
60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es
Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame akisalimiana na Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango katika sherehe za maadhimisho
ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru
Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya
nne Mhe. Jakaya Kikwete katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa
Tanzania Bara yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Hussein Ali Mwinyi
akiwasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kuhudhuria sherehe za maadhimisho
ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia
wananchi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara
yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Makatibu Wakuu wakifuatilia maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam |
Sehemu ya Mawaziri wakifuatilia maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.