Viongozi hao walijadili hali halisi ya utekelezaji wa majukumu ndani ya Idara ya Mashariki ya Kati na kuweka mikakati madhubuti ya usimamizi wa majukumu katika dawati la Kuwait linaloratibiwa na idara hiyo. Kwa pamoja wameazimia kufanya kazi kwa ushirikiano, kusimamia miradi ya ushirikiano inayoendela katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu inayofadhiliwa na Mfumo wa Kuwait hususani miradi ya kilimo, maji, ujenzi wa miundombinu, afya, elimu na ajira za kitaalamu.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.