Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda, Mhe. Jen. Jeje Odongo tarehe 19 Januari jijini Kampala, Uganda. Viongozi hao walijadili masuala ya ushirikiano wa kidiplomasia hususani Diplomasia Uchumi kwa maslahi ya mataifa yao. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.