Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe.Katja Keul, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb), mara baada ya kuwasili nchini, kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili. Aliyevaa koti jeusi bila barokoa ni Dkt. Abdallah Possi,Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.