DKT. TAX AWASILI ANGOLA KUMWAKILISHA MHE. RAIS DKT SAMIA KATIKA MKUTANO WA ICGLR
Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola Mhe. Tete Antonio alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa 4 de Fevereiro jijini Luanda, Angola kuhudhuria Mkutano wa 10 wa
Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)
Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax
(katikati) akizungumza na Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Angola Bw. Mbwana Mziray (kulia) na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Mhe.Moussa Faki Mahamat (kushoto) alipowasili jijini Luanda, Angola kuhudhuria Mkutano wa 10 wa
Dharura wa Wakuu wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR).
Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax
akizungumza na Mjumbe Maalum wa Serikali ya Sudan Balozi Dafallah Al-Hajj wakati wa kikao cha maandalizi cha Mkutano wa 10 wa
Dharura wa Wakuu wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) utakaofanyika jijini Luanda Angola tarehe 3 Juni 2023.
Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax akishiriki kikao
Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax
(Mb.) amewasili jijini Luanda , Angola kuhudhuria Mkutano wa 10 wa
Dharura wa Wakuu wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR).
Mkutano huo
utakaofanyika tarehe 03 Juni 2023 utajadili na kuangalia hali ya amani
na usalama katika katika Akanda wa Maziwa Makuu hasa katika Jamhuri ya
Sudan na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.