|
Katibu Mkuu, Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia
masuala ya Afrika Mashariki Balozi Stephen Mbundi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Namibia lililofanyika jijini Windhoek tarehe 30 Mei 2024 |
|
Katibu Mkuu, Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia
masuala ya Afrika Mashariki Balozi Stephen Mbundi akizungumza
|
|
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Bi. Fatma Mabrouk Khamis akizungumza wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Namibia lililofanyika jijini Windhoek tarehe 30 Mei 2024 |
|
Balozi wa Tanzania nchini Nambia Mheshimiwa Ceasar Waitara akizungumza wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Namibia lililofanyika jijini Windhoek tarehe 30 Mei 2024 |
|
Washiriki wa jukwaa
hilo wakifuatilia akizungumza wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Biashara
na Uwekezaji kati ya Tanzania na Namibia lililofanyika jijini Windhoek
tarehe 30 Mei 2024 |

Washiriki wa jukwaa hilo wakifuatilia akizungumza wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Namibia lililofanyika jijini Windhoek tarehe 30 Mei 2024 |
|
meza kuu katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa jukwaa hilo
|
Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia umeratibu na kushiriki katika Jukwaa la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Namibia lililofanyika jijini Windhoek tarehe 30 Mei 2024.
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Balozi Stephen Mbundi,ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Jukwaa hilo.
Jukwaa hilo limejumuisha Sekta za Kilimo, Mifugo, Utalii, Biashara na Uwekezaji.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.