WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CANADA AKUTANA NA MABALOZI WA AFRIKA
Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Melanie Joly akisalimiana na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Canada, Bw. Charles Faini wakati wa Mkutano kati yake na Mabalozi wa Afrika uliofanyika hivi karibuni jijini Ottawa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Melanie Joly akizungumza na
Mabalozi wa Afrika waliopo nchini humo uliofanyika
hivi karibuni jijini Ottawa
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.