Rais Mstaafu wa Zanzibar
na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa
Afrika (SADC –SEOM) nchini Msumbiji, Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume alitembelea
vituo kadhaa vya kupigia kura katika jiji la Maputo kwa ajili ya kuangalia
ufunguzi wa vituo hivyo, zoezi la upigaji kura na zoezi la kuhesabu kura kufuatia
uchaguzi uliofanmyika tarehe 09 Oktoba, 2024 nchini humo.
Mhe. Dkt. Karume ambaye
aliambatana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, Mhe.
Elias Magosi na Mjumbe wa Troika kutoka
Tanzania na Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Sofia
Mjema, alianza kwa kutembelea kituo cha kupigia kura katika Shule ya Sekondari
ya Josima Machel ambapo pia ni kituo alichopigia kura Rais wa Msumbiji, Mhe.
Filipe Nyusi.
Vituo vingine alivyotembelea
ni katika Shule za Msingi za Fevereiro, Maxaquene, Maxaquene Khovo na Kitivo
cha Elimu ya Michezo na Mazoezi.
Mhe. Dkt. Karume pia alishuhudia
ufungwaji wa vituo vya kupigia kura na zoezi la kuhesabu kura baadaye jioni.
Misheni ya Uangalizi ya
SADC nchini Msumbiji imepeleka Waangalizi 52 katika majimbo yote 11 nchini humo
ambayo ni Cabo Delgado, Gaza, Inhambane, Manica, Maputo City, Maputo, Niassa,
Nampula Tete na Zambezia.
Mhe. Dkt. Karume
aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Asasi ya
Siasa, Ulinzi na Usalama, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuongoza Misheni hiyo.
|
Rais Mstaafu wa Zanzibar
na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa
Afrika (SADC –SEOM) nchini Msumbiji, Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume akizungumza na mmoja mawakala wa vyama wanaosimamia zoezi la upigaji alipotembelea
vituo kadhaa vya kupigia kura katika jiji la Maputo kwa ajili ya kuangalia
ufunguzi wa vituo hivyo, zoezi la upigaji kura na zoezi la kuhesabu kura kufuatia
uchaguzi uliofanmyika tarehe 09 Oktoba, 2024 nchini humo. |
|
Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC –SEOM) nchini Msumbiji, Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume akizungumza na mmoja wa mawakala wa vyama wanaosimamia zoezi la upigaji alipotembelea vituo kadhaa vya kupigia kura katika jiji la Maputo kwa ajili ya kuangalia ufunguzi wa vituo hivyo, zoezi la upigaji kura na zoezi la kuhesabu kura kufuatia uchaguzi uliofanmyika tarehe 09 Oktoba, 2024 nchini humo. Mhe. Dkt. Karume aliambatana na ujumbe wake akiwemo Katibu Mtendaji wa SADC, Mhe. Eliasi Magosi (mwenye kofia) na Mjumbe wa Troika kutoka Tanzania na Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Sofia Mjema (mwenye kilemba) |
|
Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC –SEOM) nchini Msumbiji, Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume akizungumza na maafisa wanaosimamia zoezi la upigaji alipotembelea vituo kadhaa vya kupigia kura katika jiji la Maputo kwa ajili ya kuangalia ufunguzi wa vituo hivyo, zoezi la upigaji kura na zoezi la kuhesabu kura kufuatia uchaguzi uliofanmyika tarehe 09 Oktoba, 2024 nchini humo. |
|
Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC –SEOM) nchini Msumbiji, Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume akizungumza na mmoja wa mawakala wa vyama wanaosimamia zoezi la upigaji alipotembelea vituo kadhaa vya kupigia kura katika jiji la Maputo kwa ajili ya kuangalia ufunguzi wa vituo hivyo, zoezi la upigaji kura na zoezi la kuhesabu kura kufuatia uchaguzi uliofanmyika tarehe 09 Oktoba, 2024 nchini humo. |
|
Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC –SEOM) nchini Msumbiji, Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume akizungumza na maafisa wanaosimamia zoezi la upigaji alipotembelea vituo kadhaa vya kupigia kura katika jiji la Maputo kwa ajili ya kuangalia ufunguzi wa vituo hivyo, zoezi la upigaji kura na zoezi la kuhesabu kura kufuatia uchaguzi uliofanmyika tarehe 09 Oktoba, 2024 nchini humo. |
|
Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC –SEOM) nchini Msumbiji, Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume akiangalia moja ya sanduku la kupigia kura alipotembelea vituo kadhaa vya kupigia kura katika jiji la Maputo kwa ajili ya kuangalia ufunguzi wa vituo hivyo, zoezi la upigaji kura na zoezi la kuhesabu kura kufuatia uchaguzi uliofanmyika tarehe 09 Oktoba, 2024 nchini humo. |
|
Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC –SEOM) nchini Msumbiji, Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume akizungumza na mawakala wanaosimamia zoezi la upigaji kura alipotembelea vituo kadhaa vya kupigia kura katika jiji la Maputo kwa ajili ya kuangalia ufunguzi wa vituo hivyo, zoezi la upigaji kura na zoezi la kuhesabu kura kufuatia uchaguzi uliofanmyika tarehe 09 Oktoba, 2024 nchini humo. Wananchi wakiwa wamejipanga mstari katika vituo vya kupigia kura jijini Maputo tayari kwa kupiga kura |
|
Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC –SEOM) nchini Msumbiji, Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume akishuhudia Afisa anayesimamia zoezi la upigaji akitoa maelezo kwa mpiga kura kabla ya kupiga kura |
|
Mwananchi akipiga kura |
|
Mwananchi akiwa katika chumba cha kupigia kura |
|
Mwananchi akiwekwa alama ya wino mara baada ya kupiga kura |
|
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Talha Waziri akimwonesha Mhe. Dkt. Karume taarifa iliyotumwa kwa njia ya video kutoka kwa waangalizi wa uchaguzi wa SADC waliopelekwa kwenye majimbo mbalimbali kuhusu namna uchaguzi unavyoendelea kwenye maeneo hayo |
|
Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC –SEOM) nchini Msumbiji, Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume akishuhudia zoezi la kuhesabu kura | Zoezi la kuhesabu kura likiendelea |
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.