Mhe. Membe akiendelea na mazungumzo na Mhe. Chambas. |
Mhe. Chambas akimweleza Mhe. Membe jitihada mbalimbali zinazofanywa na UNAMID huko Darfur katika kuhakikisha amani katika Jimbo hilo lililopo Magharibi mwa Sudan inarejea. |
Picha zaidi za mazungumzo hayo. |
Mhe. Membe akiagana na Mhe. Chambas baada ya kumaliza mazungumzo yao. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.