Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Balozi Simba Yahya akizungumza na Wajumbe wa Umoja wa Vijana wa Kimataifa wa masuala ya Demokrasia (IYDU) kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) kuhusu nafasi ya Sera ya Mambo ya Nje katika kusimamia Demokrasia nchini. Vijana hao kutoka nchi 19 za Mabara yote Duniani wapo nchini kushiriki mkutano wa Bodi wa IYDU.Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam tarehe 29 Julai, 2013. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.