Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Mkumbwa Ally (mwenye suti) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya Wizara katika kutekeleza Diplomasia ya Uchumi. Wengine katika picha ni Balozi Simba Yahya (kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Balozi Mbelwa Kairuki (kulia), Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia pamoja na Bibi. Zamaradi Kawawa, Mkurugenzi Msaidizi katika Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo na Mratibu wa Mkutano huo. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.