Baadhi ya Wajumbe kutoka Sekta mbalimbali wakimsikiliza waziri Mkuu wa Thailand (hayupo pichani) akitangaza Mpango wa nchi yake wa kushirikana na Afrika. |
Mhe. Rais Kikwete nae akipata maelezo kutoka kwa Wataalam wa madini alipotembelea maonesho hayo. |
Mhe. Rais Kikwete na Mhe. Shinwatra wakijadili jambo kuhusu madini. |
Bw. Omar Mjenga, Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje akifurahia vazi la Khanga kutoka Thailand pamoja na wajumbe kutoka nchi hiyo. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.