| Bibi Pulido-Tan akimtambulisha kwa Balozi Mushy, Bi. Donna Celeste Feliciano-Gatmaytan, Kaimu Balozi wa Ufilipino nchini Kenya. |
| Balozi Mushy akiwa katika mazungumzo na Bibi Pulido-Tan kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano wa kimataifa. |
| Baadhi ya wajumbe kutoka Ufilipino waliofuatana na Bibi Pulido-Tan. |
| Balozi Mushy akiendelea na mazungumzo na Bibi Pulido-Tan huku Bi. Rose Kitandula (kulia), Afisa Mambo ya Nje akinukuu mazungumzo hayo. |
| Bibi Pulido-Tan akimweleza jambo Balozi Mushy wakati wa mazungumzo yao. |
| Mazungumzo yakiendelea. |
| Balozi Mushy katika picha ya pamoja na Bibi Pulido-Tan mara baada ya mazungumzo yao. |
| Picha ya pamoja. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.