Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe. Omar Mjenga akiwa katikati na
uongozi wa Dragon Mart ya Dubai, ambao wameonyesha nia kwa kushirikiana na
Wizara ya Viwanda na Biashara, kujenga uwanja wa maonyesho ya biashara wa
kisasa utakao kuwa unafanya maonyesho mfululizo kwa mwaka mzima.
Niao yao pamoja na Wizara, ni
kujenga kituo cha ubora (Centre of Excellency) kwa ukanda wa Afrika Mashariki
na Kusini mwa Afrika.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.