Mhe. Membe akisalimiana na Balozi wa Ufaransa hapa nchini Mhe. Malika Berak alipofika Ofisini kwake kwa mazungumzo.
|
Waziri Membe akizungumza na Balozi Berak huku Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Joseph Sokoine akisikiliza. Katika mazungumzo yao walisisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali ikiwemo kukuza biashara baina ya nchi hizi mbili. |
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.