BALOZI DORA MMARI MSECHU AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO DENMARK.
Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari
Msechu akiongea na Watanzania waishia Denmark siku ya Jumamosi Februari
21, 2015 siku alipokutana nao kwenye Hafla iliyofanyika Radisson Blue
Royal Hotel. Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen..
Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari
Msechu akisalimiana na watanzania waishio nchini Denmark siku ya
Jumamosi Februari 21, 2015 Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel.
Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen..
Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari
Msechu akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania waishio Denmark.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.