Balozi Irene Kasyanju, Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje (wa pili kulia), Bi. Tully Mwaipopo, Afisa wa Uabalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa pamoja na Amer Jandu wa pili kutoka kushoto na Bw. Samuel Akorimo, Afisa Mkuu wa MICT, Arusha wakiwa eneo la Lakilaki. Bw. Jandu ni mmiliki wa kampuni ya kitanzania iliyoshinda kandarasi ya kujenga jengo hilo. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.