| Waziri Nyamitwe hakusita kuelezea furaha yake ya kupata fursa ya kuhudhuria sherehe za Uapisho wa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli hapo jana. |
| Balozi Mulmula akizungumza huku Balozi Cartier (wa kwanza kushoto) akimsikiliza. Mwingine katika picha ni Afisa Mambo ya Nje, Bi. Felista Rugambwa |
| Balozi Mulamula akizungumza na Dkt. Ojiambo alipotembelea Wizarani leo |
| Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Ojiambo |
| Picha ya pamoja
Picha na Reginald Philip
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.