Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula (kulia), akizungumza na Balozi wa India hapa nchini, Mhe. Sandeep Arya katika mazungumza yao yalijikita katika kukuza ushirikiano kati ya Tanzania na India katika sekta mbalimbali za kiuchumi, biashara, afya na elimu. Mazungumzo hayo yalifanyika tarehe 18 Desemba, 2015. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.