Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Aziz Ponary Mlima (kulia) akipokea nyenzo mbalimbali za kufanyia kazi kutoka kwa aliyekuwa Katibu Mkuu, Balozi Liberata Mulamula wakati wa makabidhiano rasmi ya Ofisi yaliyofanyika Wizarani tarehe 11 Januari, 2016. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.