Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Mhe. Alain Aime Nyamitwe (kushoto) akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) alipomtembelea Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Augustine Mahiga (katikati), kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasilino ya Serikali wa Wizara ya Mambo Nje, Bi. Mindi Kasiga. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.