Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Aziz Ponary Mlima (kulia) akimkaribisha Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya SMH-Rail kutoka Malaysia, Bw. S. Rajamohan, alipokutana nae na kufanya mazungumzo yaliyojikita katika uwekezaji katika sekta ya uchukuzi. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.