Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Mohamed Maundi(kati) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje,
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Bi. Mindi
Kasiga wakipewa utaratibu kabla ya kuanza mahojiano na Mtangazaji wa Capital TV, Bw. Frank Morandi (kushoto) walipofika Ofisi za ITV na Radio One. Mahojiano hayo yatarushwa kupitia Kituo cha Televisheni cha CAPITAL katika kipindi cha "The Monday Agenda" tarehe 15 Februari, 2016 saa 2:45 usiku. | | | |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.