Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Mbelwa Kairuki akizungumza na Balozi wa India nchini, Mhe. Sandeep Arya alipofika Wizarani kwa ajili ya kueleza dhamira ya India ya kuendelea kushirikiana na Tanzania katika miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Elimu na ile ya upatikanaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam na Zanzibar. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.