Sehemy ya Ujumbe wa Tanzania (kushoto) na Rwanda (kulia) wakifuatilia hotuba za wakuu wa ujumbe wa pande mbili ambapo ujumbe wa Tanzania uliongozwa na Balozi Ramadhan M. Mwinyi, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.