Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Baraka Luvanda (kulia), akizungumza na Naibu Balozi wa Ujerumani hapa nchini Bw. John Reyels ambaye alimtembelea hivi karibuni katika Ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam, ambapo katika mazungumzo yao walizungumzia juu ya kukuza na kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Ujerumani hasa katika sekta ya Biashara, Elimu na Uchumi. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.