Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kushoto) akizungumza katika Mkutano na wanahabari kuhusu ziara ya Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi anayetarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili kuanzia tarehe 9-10 Julai, 2016. Mkutano huo ulifanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Aziz P. Mlima. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.