Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wa nne kutoka kushoto akiongea na wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam. Wengine katika picha kutoka kulia kwa Mhe. Rais ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga; Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Suzan Kolimba. Kutoka kushoto kwa Mhe. Rais ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Zanzibar, Mhe. Baloz Ali Karume; Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Mwinyi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.