Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba (kulia) akiwa katika mazungumzo na Mhe. Balozi Lt. Jen Wynjones Matthew aliyekuwa akihudumu Ubalozi wa Tanzania Moscow, Urusi. Mhe. Balozi Matthew amerejea nchini baada ya kumaliza muda wake. Mhe. Naibu Waziri amekutana na Mabalozi hao Ofisini kwake mjini Dodoma ambapo walijadili masuala mbalimbali ya namna kudumisha uhusiano wa kidiplomasia na nchi husika ambazo Mabalozi hao wanaiwakilisha nchi, sambamba na kuibua maeneo mapya ya ushirikiano na nchi hizo. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.