| Sehemu ya Uongozi wa Jeshi la Ulinzi wa Tanzania pamoja Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Bi. Hellen Maduhu wakifuatilia mazungumzo |
| Sehemu nyingine ya watumishi wa Serikali wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati ya Balozi Mwinyi na Bi. Hanani |
| Mazungumzo yakiendelea. |
| Balozi Mwinyi na Bi. Hanani wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi kutoka serikalini na Umoja wa Mataifa. |
Majadiliano katika Meza Duara
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ - Zanzibar, Mhe. Radhia Haroub Rashid (wa kwanza kulia) akichangia jambo katika semina ya kuwajengea uwezo wa Watanzania wa kuomba nafasi za ajira kwenye Umoja wa Mataifa.
| Juu na Chini sehemu ya viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama nchini wakimsikiliza kwa makini Bi. Hanani |
| Mazungumzo yakiendelea. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.