Katibu
Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) Mhe. Wamkele
Mene awasili nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku nne kuanzia tarehe 27
– 30 Juni, 2021.
|
Katibu
Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) Mhe. Wamkele
Mene akipokelewa akipokelewa na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Balozi Naimi Aziz mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam |
|
Katibu
Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) Mhe. Wamkele
Mene akipokelewa na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Balozi Naimi Aziz. Kushoto mwa Mhe. Mene ni Kaimu Mkurugenzi Idara
ya Biashara,Uwekezaji na Sekta za Uzalishaji, kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Benard Haule. |
|
Mkurugenzi wa Idara ya Afrika - Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Naimi Aziz akiteta jambo na Katibu
Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) Mhe. Wamkele
Mene mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam |
|
Katibu Mtendaji wa
Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) Mhe. Wamkele Mene akipokelewa |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.