Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tigest Ketsela Mengestu ambapo pamoja na mambo mengine wamezungumzia juu ya masuala ya mapambano dcidi ya ugonjwa wa Corona |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.