Mkurugenzi
wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bw. Emmanuel Buhohela akimueleza jambo Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula katika
banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye maonesho
ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam |
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula katika
picha moja na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki kwenye maonesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.