Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa na Mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Balozi Raychelle Omamo katika mazungumzo ya faragha kabla ya kuanza kwa mazungumzo rasmi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Balozi Raychelle Omamo akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) barua rasmi ya mualiko wa kutembelea Kenya |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.