Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Mhandisi Zena Ahmed Said akifuatilia mjadala katika Mkutano wa 112 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Afrika,Caribbean na Pazific unaofanyika kwa njia ya mtandao - Dar es Salaam
Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Mhandisi Zena Ahmed Said (kushoto) akiwa na Kamishna wa fedha za Nje wa Wizara ya feda na Mipango Bi Sauda Msemwa (katikati) pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika Bw. Hassan Mwamweta wakifuatilia mjadala katika Mkutano wa 112 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Afrika,Caribbean na Pazific unaofanyika kwa njia ya mtandao - Dar es Salaam
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.